Karibu KitongaWiFi
|
Furahia mtandao wa haraka, wa kuaminika, salama na rahisi, jihudumie mwenyewe, WiFi iliyoundwa kwa ajili ya kila mtu.
Nimepoteza Vocha
Je, umesahau au umepoteza vocha yako?
Ninayo Vocha
Bonyeza kitufe chini kama umepata vocha kujiunga na mtandao
Vifurushi Vyetu – Chagua Kifurushi Kinachokufaa kwa kubonyeza ili kulipia na kupata vocha
"KITONGA WiFi – Intaneti Bila Kikomo, Unganishwa na Dunia!"
Kwa Nini KitongaWiFi?
Tunatoa huduma bora za intaneti na mfumo wa malipo ulio rahisi na wa kutegemea
Kasi ya Juu
Mtandao wa haraka wa hadi 100Mbps kwa ajili ya kazi na burudani
Usalama wa Hali ya Juu
Mazingira salama ya mtandao na ulinzi wa data yako
Huduma ya Saa 24
Mtandao unayofanya kazi mchana na usiku bila kukwama
Msaada wa Papo Hapo
Timu yetu ya msaada ipo tayari kukusaidia wakati wowote
Mazingira Mengi
Tunafikia maeneo mengi mjini Morogoro na nje ya mji
Bidhaa za Kisasa
Teknolojia mpya na vifaa vya kisasa kwa huduma bora
Kuhusu KitongaWiFi
KitongaWiFi ni kampuni ya kisasa inayotoa huduma za intaneti na mfumo wa malipo wa WiFi. Tumeanzisha huduma hii ili kurahisisha jinsi watu wanavyopata na kulipa huduma za mtandao.
Dhumuni Letu
Kuwapatia watu wote uwezo wa kufikia intaneti ya haraka na ya bei nafuu
Maono Yetu
Kuwa kampuni inayongoza katika huduma za mtandao Tanzania
Maadili Yetu
Uaminifu, ubora, na kutoa huduma za kiwango cha juu kila wakati
Teknolojia Yetu
Tunatumia vifaa vya kisasa na teknolojia za hali ya juu ili kuhakikisha mtandao wetu ni wa haraka, salama na wa kutegemea.
Timu Yetu
Tuna timu ya wataalamu wenye uzoefu katika teknolojia ya mtandao na huduma kwa wateja, tayari kuwasaidia kila siku.
Mazingira Yetu Tanzania
Tunaanza huduma zetu mjini Morogoro na tutaongeza maeneo mengine nchini Tanzania